Habari
Jana Mzee Museveni akanipigia simu ananiambia pamoja na Corona ninaomba tumalizie huu mradi, akasema mimi nitakuja na barakoa, nikamwambia njoo mradi haulali- Rais Magufuli (+Video)
“Jana Mzee @KagutaMuseveni akanipigia simu ananiambia pamoja na Corona ninaomba tumalizie huu mradi uanze, corona isiwe sababu ya kuchelewesha maendeleo, akasema mimi nitakuja na barakoa, nikamwambia njoo mradi haulali”- Rais Magufuli (+Video)