Burudani

Janet Jackson anafurahia uhuru wake

Baada ya kuachana na mume wake Wissam Al Mana, imeelezwa na producer Jimmy Jam, kuwa mwanamuziki Janet Jackson anafurahia maisha yake ya sasa kwa kumlea mwanae pamoja na kufanya muziki.


Wissam Al Mana na Janet Jackson enzi za ndoa yao

“The singer is doing better than ever and Janet is so wonderful, She is so happy being a mom,” Jam amewaeleza mtando wa Us Weekly wakati alipoudhulia Rhythm and Soul Awards iliyofanyika Beverly Hills nchini Marekani.


Janet Jackson akiwa na mwanae

Mtarishaji huyo ambaye aliwahi kushinda tuzo ya Grammy, ameeleza kuwa hivyo ndivyo mapenzi yalivyo na msanii huyo wa miondoko ya Pop anajiandaa kufanya tour yake ya kimuziki ifikapo September. Kwa sasa Janet amekuwa akipigania kupata mamlaka yote ya kumlea mtoto wake wa kiume mwenye miezi 5 aitwaye Eissa.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents