Soka saa 24!

Jarida la France Footbal linaloandaa tuzo ya Ballon d’Or, lazitaja klabu kubwa na bora duniani kwa muda wote

Jarida maarufu duniani linalojihusisha na masuala ya michezo la France Football limezitaja klabu 30 duniani ambazo ni kubwa na bora duniani kwa muda wote.

Jarida hilo liliweka Poll mtandaoni ambapo watu 143,473 walipiga kura kwenye website yao, na wengine mamilioni wakipiga kura kwenye mitandao ya kijamii.

Jarida hilo, ambalo ndio linaandaa tuzo ya Ballon d’Or, limeeleza kuwa licha ya kura zilizopigwa pia limeangalia tuzo za wachezaji ndani ya klabu husika kama kigezo ongezwa.

Soma zaidi orodha hiyo kamili – https://www.francefootball.fr/news/Ff-revele-son-top-30-des-plus-grands-clubs-du-monde-avec-le-real-madrid-en-premiere-position/987752

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW