Burudani

Jay Z ampa Shavu mtoto wa Will Smith!

Katika habari zizlizotufikia hivi karibuni ni kwamba Willow Smith,ambaye ni mtoto wa waigiza filamu maarufu wa Hollywood Will na Jada Pinkett Smith,ametapa bonge la shavu kutoka kwa Jay Z baada ya Mogul huyo kumpa Record deal ya kurekodi miziki chini ya mwamvuli wa ‘Roc Nation’.

Hii imetokea wiki iliyopita baada ya nyimbo ya binti huyo wa miaka tisa kuibuk kwenye mtandao na watu kupata nafasi ya kusikiliza mashairi kutoka kwa wimbo uitwao,’Whip my Hair’.Wengi wamemtabiria kuwa the next Rihanna kutokana na kufanana kwa sauti zao.

Mwanadada huyo anaungana na wenzake kama J.Cole na Rihanna ambao tayari wanapiga mzigo chini ya usimamizi wa Jigga.

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents