Burudani

Jay Z azidi kutanua akaunti yake ya benki

Jay Z anazidi kutanua akaunti yake ya benki. Rapper huyo ameongeza mkataba mwingine wa miaka 10 na kampuni ya Live Nation, ambayo itamuingiza kiasi cha dola milioni 200.

Rapper huyo ataingiza fedha hizo kupitia kampuni hiyo ambayo itakuwa inasimamia ziara za msanii huyo kama watayarishaji na mapromota.

Baada ya kusaini mkataba huo mpya, Jay amesema, “Live Nation and I entered unchartered territory in 2008. Over nine years, we have travelled the world producing historic music experiences. [Live Nation CEO] Michael Rapino is an industry visionary, and this renewed partnership is a testament to our longstanding relationship and the talented individuals at Live Nation. For the next 10 years, we will continue redefining the live event landscape.”

Naye Michael Piano, ambaye ni mwenyekiti mtendaji wa Live Nation, amesema, “Jay Z is one of the world’s preeminent touring artists. This strengthens the creative and business partnership of someone that continues to expand his touring base and reach.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents