Burudani

Jay Z atoboa siri ya mama yake

By  | 

Albamu ya 13, ya rapper Jay Z imetoka na mojawapo ya ngoma inayopatikana katika albamu hiyo ya 4:44 imeeleza kuwa mama yake ni mtu anayeshiriki mapenzi ya jinsia moja.

Ngoma hiyo inayoitwa ‘Smile’ aliyomshirikisha mama yake imeweza kuthibitisha kuwa mama mzazi wa rapper huyo(Gloria Carter) kuw ni mtu anayeshiriki mapenzi ya jinsia moja, Katika ngoma hiyo inasema kuwa “Mama had four kids, but she’s a lesbian,” he raps on the No I.D.-produced track. “Had to pretend so long, that she’s a thespian / Had to hide in the closet, so she medicate / Society’s shame and the pain was too much to take / Cried tears of joy when you fell in love / Don’t matter to me if it’s a him or her.”

Pia katika outro ya ngoma hiyo mama yake Jay amesikika akiimba kwa kusema “Living in the shadow/ Can you imagine what kind of life it is to live? In the shadows people see you as happy and free, because that’s what you want them to see. Living two lives, happy, but not free.”

Mama akazidi kutiririka “Living in the shadow feels like the safe place to be/ No harm for them, no harm for me. But life is short, and it’s time to be free. Love who you love, because life isn’t guaranteed. Smile.”

Hiyo ni baadhi ya mistari inayopatikana katika ngoma hiyo ili uweze kusikiliza kwa urefu zaidi cha msingi ni kuhakikisha unanunua albamu hiyo kupitia mtandao wa Tidal.

Na Laila Sued

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments