Burudani

Jay Z awaonjesha kidogo kile kitakachokuwepo katika album yake mpya ‘Magna Carta Holy Grail’ kwa kutoa tracklist

Pamoja na kwamba zimebaki siku chache kabla album mpya ya rapper Jay Z iitwayo ‘Magna Carta Holy Grail’ (MCHG) kutoka, rapper huyo ameamua kuwaonjesha (japo kwa majina ya nyimbo) mashabiki wake kile kitakachokuwepo katika album hiyo.

Jay z

Hii ndio list ya nyimbo za MCHG album ya Shawn Carter:

1. Picasso Baby
2. Heaven
3. Versus
4. Tom Ford
5. Beach Is Better
6. FuckWithMeYouKnowIGotIt
7. Oceans
8. F.U.T.W.
09. Part II (On The Run)
10. BBC
11. La Familia
12. Jay-Z Blue
13. Nickles & Dimes
14. Holy Grail (Bonus Track)
15. Open Letter (Bonus Track)

Album ya ‘Magna Carta Holy Grail’ (MCHG) ya Jay Z inategemewa kutoka ‘bure’ (July 4) kwa watumiaji Million 1 wa simu za Samsung, Galaxy S III, Galaxy S4, na Galaxy Note II watakaoweza kudownload kupitia application maalum siku 3 kabla ya tarehe rasmi ya kuingia sokoni (July 7).

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents