Tupo Nawe

Jay-Z aweka historia nchini Marekani kupitia album yake ya ‘The Blueprint’

Album ‘The Blueprint’ ya rapper mkongwe nchini Marekani, Jay Z imefanikiwa kuingia kwenye makumbusho ya Taifa nchini Marekani maarufu kama Library of Congress or National Recording Registry.

Katika historia hii inakuwa ni album ya kwanza ya Hip Hop nchini Marekani, kuingizwa kwenye makumbusho hayo, ambayo huifadhi kazi bora za wasanii, zilizoegemea upande wa utamaduni.

The Blueprint ni album ya 6 ya Jay-Z na ilitoka mwaka 2001 chini ya uangalizi wa Roc-A-Fella na Def Jam Recordings.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW