Burudani

Jay Z azidi kuonjesha utamu wa album yake mpya, baada ya ‘track list’ sasa ameweka hadharani mashahiri ya wimbo aliomshirikisha Justin Timberlake “Holy Grail”

Jay Z ameamua kutumia mtindo wa kuwapa watu shauku ya album yake ya ‘Magna Carta Holy Grail’ kwa kutoa kitu kimoja kimoja ikiwa zimebakia siku chache itoke. Baada ya kutuonjesha orodha ya nyimbo zitakazokuwemo katika album hiyo sasa ameamua kutuonjesha mashahiri ya moja ya nyimbo za kwenye album hiyo.

Jay z & Timberlake

Jay Z ametoa lyrics za wimbo unaoitwa “Holy Grail” aliyomshirikisha Justin Timberlake utakaokuwemo katika album hiyo. Wimbo huu ameu sample kutoka katika wimbo wa Nirvana “Smells Like Teen Spirit”.

Sio mbaya ukijitengenezea beat yako kichwani na melody wakati unayasoma mashahiri haya kabla hujausikia wimbo kamili (July 7) album ya ‘Magna Carta Holy Grail’ itakapotoka rasmi.

Jay z lyrics

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents