Siasa

Jay-Z kuchangisha fedha kwaajili ya kampeni ya Obama

Ushkaji wa Jay-Z na rais Barack Obama wa Marekani utaendelea wiki ijayo, pale rapper huyo na mke wake Beyoncé Knowles watakapoendesha shughuli ya kuchangisha fedha kwenye ‘fundraising dinner’ katika klabu ya Jay, 40/40 ya Manhattan.

Gazeti la The New York Post limeripoti kuwa chakula hicho cha usiku kitaalika wageni 100 tu ambao watalipa dola 40,000 kwa tiketi.

Dinner hiyo ya Sept. 18, inadaiwa kuwa kituo cha mwisho cha kampeni ya Obama jijini New York kabla ya uchaguzi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents