Burudani

Jay-Z na Beyonce ndio couple ya kwanza kwenye muziki kuwa bilionea

Kwa mujibu wa International Business Times, Shawn Carter & Beyonce Knowles Carter ni couple ya kwanza kwenye muziki yenye utajiri wa pamoja wa dola bilioni moja.

Jay-Z and Beyonce Knowles enjoy watching the Brooklyn Nets in NY

Beyonce

Beyonce anatarajia kukusanya zaidi ya dola milioni 116 kwenye ziara yake, Mrs. Carter World Tour. Ukiongezea na zile dola milioni 50 za kampeni ya Pepsi na kampeni H&M, amesaidia kuongezea fedha za familia na ‘billion dollar mark’ mwaka huu.

beyonce-hm-08_vogue_12apr13_b_1080x720_zpse78847a3

beyonce-hm-10_vogue_12apr13_b_1080x720_zps797dd420

Kwa upande wa Jay-Z tayari ni namba mbili kwenye orodha ya FORBES richest Hip Hop artists akipata fedha nyingi kutoka kwenye makampuni yake ya muziki, urembo na timu za mpira.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents