AFCON 2019 Tupogo!
Vodacom Data Datani!

Jay Z, Rick Ross waongoza mastaa duniani kusherehekea kuachiwa kwa Meek Mill

Habari zinazoteka vichwa vya habari kwa sasa ni kuachiwa kwa dhamana kwa rapper Meek Mill.

Rapper huyo aameachiwa Jumanne hii ya April 24 kutokana na amri ya Mahakama Kuu ya mjini Philadelphia kutokana na hukumu yake hiyo kuonekana kuwa na utata mkubwa ndani yake.

Meek alihukumiwa kifungo cha miaka 2-4 jela na tayari alikuwa ameshatumikia kifungo cha miezi mitano jela. Mastaa kibao duniani akiwemo Jay Z na wengine wameonekana kufurahisha kuachiwa kwa msanii mwenzao huyo.

Jay Z
Today, Meek Mill, a son of Philadelphia, is a free man. He was incarcerated unjustly and caught in a probation trap for years by a broken system. Now we can celebrate his release. We thank every individual that has supported and fought alongside Meek every step of the way

Rick Ross
Meek 💪🏿💪🏿💪🏿

Tidal
#MeekMill is finally a free man 🙌. RT if you’re blasting “Dreams and Nightmares”:

Kevin Hart
Meek Mill is Frrrrreeeeeeeee ….I just left from seeing him in jail with @michaelgrubin and we were just told that he is being released. Woooooooow……Stand Up Philadelphia!!!!!. Back like we never left….Welcome home @meekmill ….Lets gooooooooo Sixers #PhillyStandUp #CityOfBrotherlyLove

Fabolous
Free Meek til Meek Free!! Welcome Back meekmill

T.I
They made you a political prisoner to silence you… you stood tall and stayed SOLID!!! They can’t stop you now lil bro!!!! It’s almost OVER!!! #MeekOTW

Jadakiss
Welcome Home Lil bro meekmill

Spotify
Welcome home, Meek Mill 🙏

Amazon Music
I roared with the lions.” Here’s to Philly’s own Meek Mill! #MeekisFree

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW