Marimba Music Chart

MMC: Jaydee aendelea kushika namba 1 kwenye chart za Marimba, Mwana FA, AY na Quick Rocka waingia

Lady Jaydee na wimbo wake Yahaya ameendelea kushika nafasi ya kwanza kwenye Marimba Music Charts,MMC, kwa wiki ya pili mfululizo.

942987_10151460163415025_1772689805_n

Ngoma ya Madee, Sio Mimi imeendelea kufanya vizuri kwa kupanda kwa nafasi moja hadi nafasi ya 2 kutoka nafasi ya tatu wiki iliyopita. Majanga ya Snura imepanda kwa nafasi mbili kutoka nafasi ya 5 wiki iliyopita hadi nafasi ya 5 wiki hii.

Wiki hii Bila Kukunja Goti ya Mwana FA na AY waliyomshirikisha J.Martins imeingia kwa kishindo kwenye MMC hadi nafasi ya 6 wiki hii huku My Baby wa Quick Rocka ikiingia kwa mara ya kwanza hadi nafasi ya 9.

MARIMBA CHART (1ST AUG 2013)

Marimba Music Charts huandaliwa na BONGO 5 kila wiki kutokana na chart za radio zote nchini.

MARIMBA CHART SOURCES (1st AUG 2013)
Vyanzo vingine: DJ CHOKA BLOG: TOP 10

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents