Bongo Movie

JB aja na Senior Bachelor

Jb_Uwoya1

Mwigizaji wa filamu nchini Stiven Jacob maarufu kama Jb, amesema anataka kuachia Move Mpya itakayokwenda kwa jina la senior Bachelor, akiwa na mwanamuziki  mkongwe Bozi boziana na Irene Uwoya.
Anasema katika Movie hiyo atafanya mambo mengi ambayo ni makubwa na yenye kuleta mabadiliko katika filamu za Bongo.

Jb_Irene_Uwoya

Jb_Uwoya_part

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents