Michezo

Je Emanuel Okwi amemalizana na Simba SC ? (Picha)

Klabu ya soka ya Simba inaonekana kufikia pazuri katika kukamilisha uhamisho wa usajili wa mchezaji wao wa zamani, Emmanuel Okwi.

Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili wa Simba, Zacharia Hanspope (kushoto) akiwa na mshambuliaji Emmanuel Okwi

Katika kuonyesha mazungumzo yamekwenda salama Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili wa Simba, Zacharia Hanspope ameonekana akiwa sambamba na mshambuliaji huyo.

BY HAMZA FUMO

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents