Habari

Je, waliomteka Mo Dewji ni watu gani? Jeshi la Polisi latoa maelezo (+video)

Ikiwa ni masaa machache yamepita tangu Bilionea kijana apatikane katika viwanja vya Gymkhana Jijini Dar Es Salaam Alfajiri ya leo, tayari Jeshi la Polisi limetoa maelezo ya awali.

Kwa mujibu wa maelezo kutoka kwa Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar Es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema kuwa baada ya kufanya mahojiano mafupi na MO Dewji, amedai kuwa watu waliomteka walikuwa wanaongea kilugha na lafudhi yao ni ya watu kutoka Afrika Kusini.

Hata hivyo, Mambosasa amedai kuwa kwa taarifa hizo watekaji hawakuwa Watanzania hii ni baada ya Mo Dewji kutoa maelezo hayo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents