Burudani

Jela: Chris Brown kuruhusiwa kuoga mara moja ndani ya siku mbili

Chris Brown anadaiwa kuwa ataruhusiwa kuoga mara moja tu ndani ya siku mbili akiwa jela. Staa huyo wa R&B alitupwa jela wiki hii ambako atakaa kwa mwezi mzima baada ya kufukuzwa rehab.

Chris+Brown+Chris+Brown+Arrives+Court+Hearing+0Vw2WDgnnaPl

Brown atakuwa amefungiwa kwenye chumba chake mwenyewe kwa saa 23 kila siku, kwa mujibu wa TMZ. Hata hivyo ataweza kusoma vitabu na kufanya mazoezi na atakuwemo humo hadi tarehe 23 April.

Brown, 24 alifukuzwa rehab baada ya kumsogelea na kumshika mwanamke kinyume na masharti ya humo, kukataa kuchukua vipimo vya madawa ya kulevya na kwa kutoa kauli za vitisho wakati wa therapy ya kundi kwa kudaiwa kusema “I am good at using guns and knives.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents