Michezo

Jemima aipa Kenya medali ya kwanza ya dhahabu Rio de Janeiro

Mwana Dada Jemima Jelagat Sumgong ameishindia Kenya medali yake ya kwanza katika mbio za marathon upande wa wanawake.
Sumgonda alishinda katika mda wa saa 2 dakika 24 na sekunde nne mbele ya mzaliwa mwengine wa Kenya ambaye amechukua uraia wake Bharian Eunice Kirwa.

_90786806_sumgong2

Bingwa wa dunia Mare Dibaba wa Ethiopia alikuwa wa tatu.

Kenya sasa ina mdeali moja ya dhahabu na mbili za fedha baada Vivian Cheruiyot kushinda fedha katika mbio za mita 10,000 upande wa wanawake naye Tanui akaishindia fedha katika mbio hizo upande wa wanaume.

Source: BBC

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents