Jengo lawaka moto Kariakoo

Jana asubuhi, jengo la ghorofa saba lilipo mtaa wa Mahiwa na Livingstone Kariakoo Dar, limeshika moto na hakuna jitihata za kutosha za kuliokoa kutokana na kutokuwepo kwa vifaa vya uhakika vya kuzimia moto

Jengo laungua


 


Jana asubuhi, jengo la ghorofa saba lilipo mtaa wa Mahiwa na Livingstone Kariakoo Dar, limeshika moto na hakuna jitihata za kutosha za kuliokoa kutokana na kutokuwepo kwa vifaa vya uhakika vya kuzimia moto huo, kama ilivyo siku zote kwa Bongo.


 


Zimamoto


 


Pichani juu askari wa kikosi cha Zimamoto cha Kandoro wakiwa hawajui la kufanya baada ya maji kuwaishia eneo la tukio na hivyo kubaki wakilitazama jengo likiendelea kuungua moto kama linavyoonekana.


 


Picha na Richard Bukos/GPL

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents