Burudani
Jengo lenye ghorofa 68 kujengwa nchini Australia kufuatisha umbo la Beyonce
Kampuni maarufu ya majengo, Elenberg Fraser inatarajia kujenga jengo lenye ghorofa 68 jijini Melbourne, Australia, ambalo litafuatisha umbo la Beyonce linavyoonekana kwenye video yake, Ghost.
Kwa mujibu wa TMZ, kampuni hiyo imesema jengo hilo litakuwa na apartments 600 na hoteli.