Habari

Jenista Muhagama: Janga la tetemeko ni la kwetu sote

Waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu, sera,bunge,ajira, vijana na walemavu, Jenista Mhagama, ametoa wito kwa watanzania kuwa janga la tetemeko ni la nchi nzima na si la serikali pekee.

image

Ametoa wito huo wakati wa ziara yake mkoani humo ambapo aliweza kutembelea baadhi ya kata zilizoathiriwa na tetemeko hilo.

“Janga linalotokea au liwe la maafa yoyote ni ya kwetu sisi wote, na si kwamba ni maafa ya serikali, kwa mfano lilivyotokea tatizo hili la uhaba wa chakula kwasababu ya nini ukame,kwahiyo ni la kwetu sisi sote,ni la serikali lakini ni la kwetu sisi sote,” alisema Muhagama.

Aidha waziri Muhagama alisema, “lakini limetokea hili la tetemeko ni la kwetu sisi wote,isije ikawa kila mtu anasema sasa serikali iko wapi hapana.”

BY: EMMY MWAIPOPO

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents