Soka saa 24!

Jennifer Lopez kuwakutanisha Cardi B na Dj Khaled

Jennifer Lopez anampango wa kurudi kwa kishindo kwenye game.

Mrembo huyo kupitia mtanao wa Instagram, ameonyehsa kuwa mbioni kuachia ngoma yake mpya ambayo amemshirikisha rapper Cardi B na Dj Khaled.

Kupitia mtandao huo JLo ameandika, “Tell @iamcardib and @djkhaled Khaled I’m on my way… gonna get this #DINERO 💵.”

Ngoma ya mwisho ya msanii huyo kuachia ilikuwa ni ‘ Ain’t Your Mama’ ambayo ilitoka mwezi Mei mwaka 2016.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW