Shinda na SIM Account

Jeremih aachia EP yake mpya yenye ngoma nne

Msanii wa Marekani, Jeremy Felton maarufu kama Jeremih, ameachia EP yake mpya yenye nyimbo nne.

EP hiyo imepewa jina la ‘The Chocolate Box’.

Ngoma ambazo zinapatikana kwenye EP hiyo ina ngoma kama ‘Forever I’m Ready’, ‘Cards Right’, ‘SMTS’ na ‘Nympho’.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW