Michezo

Jeshi la Kujenga Taifa lampa tuzo Alphonce Simbu (Video)

Mshindi wa Medali ya Shaba katika mbio za dunia za London, Alphonce Felix Simbu pamoja na wenzake wamepongezwa na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa kuiwakilisha nchi vyema katika michuano ya riadha ya dunia ya London nchini Uingereza.

 

Alphonce Simbu akipokea tuzo kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa, Meja jenerali, Michael Isamuhyo kama pongezi kwa ushindi wake.

Alphonce  Simbu apokewa kifalme  uwanja wa ndege wa JK Nyerere (Picha)

Simbu alianikiwa kushika nafasi ya tatu katika mashindano hayo na kupata Medali ya shaba

By Hamza Fumo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents