Jeshi la Magereza latoa taarifa kuachiwa kwa Lulu

Jeshi la Magereza nchini Tanzania, linautaarifa umma kuwa aliyekuwa anakitumikia kifungo cha miaka miwili katika gereza la Segerea jijini Dar es salaam kwa kosa la kuua bila kukusudia ametolewa kutoka gerezani kwenda kifungo cha nje.

Soma taarifa kamili;

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW