Habari
Jeshi la polisi laanza msako wa wezi wa vifaa vya magari (Video)
Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam, LJ Mkondya amesema Jumatatu hii jeshi la polisi limeanzisha operesheni ya kuwakamata wezi wa vifaa vya magari.