Habari
Jeshi la Polisi lasitisha utoaji wa ajira mpya zilizotangazwa
Jeshi la Polisi nchini limetangaza kusitisha utoaji wa ajira zilizotangazwa kwa vijana wa JKT waliopita oparesheni Kikwete ambazo zilikuwa zimetangazwa katika Vyombo mbalimbali vya Habari.
Soma taarifa kamili: