Michezo

Jezi mpya Simba SC msimu 2020/21

Klabu ya #simbasc Imetambulisha rasmi jezi zake mpya za msimu wa mwaka 2020/21

Simba imetambulisha jezi hizo mpya baada ya kupita muda mchache tu, tangu kutambulisha rasmi ya logo yake ambayo sasa anaonekana Mnyama Simba akiwa ameacha wazi mdomo wake huku akionekana kuwa mwenyewe hasira.

IMEANDIKWA NA Hamza Fumo, Instagram @fumo255

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents