Burudani

Jibu la Beka Flavour kuhusu kolabo na Aslay

Msanii wa muziki wa Bongo Flava, Beka Flavour amefunguka kuhusu kolabo yake na Aslay.


Muimbaji huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma yake mpya ‘Sarafina’ ameiambia FNL ya EATV kuwa kolabo hiyo bado haifanyika bado ila muda ukifika itafanyika.

“Hamna bado hatuna kolabo lakini chochote kinaweza kutokea lakini siyo Aslay tu, mbona Enock watu wamuongelei?” amesema.

Aslay na Beka walikuwa pamoja katika kundi la Yamoto Band ambalo kwa sasa wasanii wake wanafanya kazi kama solo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents