Burudani

Jibu la Cardi B kuhusu matarajio ya kupata mtoto

Ni furaha kubwa inatokea kwa mtu anapofanikiwa kupata mtoto – Hilo ni moja ya swali ambalo amekutana nalo rapper Cardi B.

Msanii huyo ambaye ameteka vichwa vya habari baada ya kushika namba moja kwenye chati za Billboard, amekutana na swali hilo la mtoto katika jarida la New York ambalo amekava mwezi huu wa Novemba.

Akijibu swali hilo kuhusu matarajio yake ya kupata mtoto, Cardi amesema, “I’ll do something that brings me a check. The faster I make a lot of money, the faster I can have these kids I want.”

Mrembo huyo hivi karibuni alivalishwa pete ya thamani ya dola 550,000 ambayo ni zaidi ya shilingi bilioni 1.2 za kitanzania na mpenzi wake Offset kutoka kundi la Migos.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents