Jibu la Rayvanny kuhusu kumuoa Fahyma (+Video)

Msanii wa muziki Bongo kutokea WCB, Rayvanny amefunguka kuhusu mipango ya kumuoa mpenzi wake, Fahyma.

Rayvanny amesema bado ni mapema kuzungumzia hilo kwa sababu jambo hilo linahitaji maandalizi ya kifamilia zaidi.

“Yeah, Mungu akijalia lakini kwa sasa siwezi kusema ni lini kwa sababu hivi vitu vinapangwa na familia, ndugu mkishapanga. ikishakuwa official kila mtu atajua,” Rayvanny ameiambia Bongo5.

Rayvanny na Fahyma wamejaliwa kupata mtoto mmoja aitwaye Jaydan.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW