BurudaniLady Jay Dee

Jide na Kidumu kufanya Party ya tuzo zao

Judith

Lady Jay Deeanatarajia kufanya party maalum ya kujipongeza yeye pamoja na Kidumu, katika mgahawa wake NyumbaniLouge ulipo Namanga . Anasema katika party hiyo pia utakuwa uzinduzi maalum wa siku ya jumapili ambayo atakuwa akipiga show, yeye mwenyewe kwa kupiga nyimbo ake pekee.

 

Kiingilio katika party hiyo ya aina yake ni shilingi 30,000 kama mambo ya msosi yatakuwa juu yao, lakini shilingi 20,000 kama masuala ya msosi utajitegemea kwa kununua mwenyewe.
Na kuanzia siku hiyo na kila jumapili Jay Dee atakuwa akitumbuiza yeye mwenyewe katika jukwaa  hilo la Nyumbani Louge.

Anawaomba mkaribie kwani kutakuwa na burudani moto moto na mambo mazuri.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents