Jini mkata kamba ainyemelea ndoa ya Shilole na Uchebe

Ukipita katika Instagram page ya mume wa msanii wa filamu na muziki Bongo Zuwena Mohamed ‘Shilole’ utakutana na ua jeusi ambalo hutumika kutangaza kuvunjika mahusiano.

Uchebe ambaye alifunga ndoa na Shilole mnamo mwaka 2017 na harusi yao kufanyika Januari 15 mwaka huu ameandika maneno yanayosomeka “Mfugaji hanakipaji chaufugaji⚑⚑⚑❎❌✔” katika mtandao huo wa kijamii huku ua jeusi likionekana.

Hii pic Inavitu vingi sana vya kusema ilawanWake wengi tunakaa kimyaa ila ipo siku!

A post shared by Shishi Trump (@shilolekiuno_badgirlshishi) on


Siku moja kabla Shilole alitumia alidai kuwa anamengi ya kuongea kutokana na muonekano wa picha aliyoweka. Hata hivyo baadhi ya maoni yamedai kuwa wawili hao wanatafuta kiki na sio kweli.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW