Burudani

Jinsi Hamisa Mobetto alivyouliza maswali mpaka mshindi wa Miss Tanzania kupatikana (Video)

Mashindano ya Miss Tanzania yamemaliza kwa mrembo, Queen Elizabeth kutoka Zone ya Dar es salaam kuondoka na taji hilo huku akiwamwaga wenzake 19. Baada ya kuingia tano bora warembo hao waliulizwa na maswali Hamisa Mobetto na aliyejibu vizuri alijichukulia maski nyingi kutoka kwa majaji.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents