Burudani

Jinsia ya mtoto mtarajiwa wa Kanye West na mrembo Kim Kardashian sasa hadharani, ni baby……!

Haikuwa siri tena kwa Kim Kardashian na rappaer Kanye West na kwa wahusika wote wa reality show ya “Keeping up with the Kardashians” ambao tayari walikuwa wameshafahamu jinsia ya mtoto huyo baada ya appointment ya Kim Kardashian kwa daktari hivi karibuni ambayo ilirekodiwa kwaajili ya kurushwa kupitia show hiyo ya TV.

Kim & Kanye

Katika taarifa za awali ilifahamika kuwa tayari Kim na Kanye wamefahamu jinsia ya mwanao mtarajiwa lakini katika clip iliyowekwa mtandaoni walikata sehemu ambayo doctor alipokuwa anawaambia jinsia ya mtoto huyo, ambayo of course inaeleweka ni sababu walitaka iwe exclusive kupitia reality show hiyo ya familia ya Kardashian.

Najua mpaka sasa ulitegemea niwe nimeshataja jinsia ya mtoto anaetarajiwa na Kim na Kanye, its a baby girl, swali lililobaki sasa ni kama jina la mtoto huyo litaanza na herufi K ama laa!.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents