Promotion

Jishindie bia ndogo ya Safari kila Jumatano kwenye vituo vya daladala jijini Dar (+video)

Kwa wakazi wa Jiji la Dar es salaam hususani wanywaji wa vileo wameendelea kuneemeka kwani Kampuni ya TBL kupitia kinywaji chake cha Safari Lager wameendelea kutoa zawadi ya bia kwa kila mtu atakayeshiriki kucheza droo zao zinazopatikana kwenye vituo vya daladala.

Baadhi ya washindi wa JGWARA wakijipongeza na Safari ndogo

Leo Aprili 25, 2018 droo ya VUTA PUMZI NA  JGWARA imechezwa katika kituo cha Mabasi cha Tabata Reli ambapo washindi zaidi ya 20 waliweza kujishindia safari ndogo kwenye droo hiyo iliyoanza kuchezeshwa saa 10 jioni hadi saa 2:00 usiku.

Bongo5 imezungumza na baadhi ya washindi wa promosheni hiyo, ambapo wengi wamekiri wazi kuwa wanafurahia huduma hiyo kwani inawaliwaza na kuwafanya wawe na furaha pindi wanapotoka kwenye majukumu yao ya kila siku ya Jumatano.

Kwa sasa promosheni hii ni kwa wakazi wa Dar es salaam na unaweza kujishindia bia yako kila siku ya Jumatano kwenye vituo vya daladala vya Morocco, Mtongani Temeke na Tabata Reli.

 

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents