Michezo

Joao Mario amesajiliwa na Inter Milan

Mchezaji Joao Mario amejiunga na klabu ya Inter Milan kutoka Sporting lisbon kwa kitita cha pauni milioni 38.4 na kuwa mchezaji ghali zaidi wa Ureno kuwahi kuuzwa na klabu ya Ureno.

_90953383_jaomario

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23 aliyashinda mauzo ya Cristiano Ronaldo ya pauni milioni milioni 12.24 na Nani aliyeuzwa kwa kitita cha pauni milioni 25 kuelekea Manchester United.

Inter bado inaendelea na mazungumzo ya kumsajili Gabriel Barbosa kutoka Santos.

Kiungo wa katiu Mario aliichezea Sporting mara 171 na kushinda Euro 2016 na Ureno.

Source: BBC

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents