Habari

Joe Thomas Kupiga Shoo Nairobi


Msanii kutoka jiji la Atlanta nchini Marekani ambaye anayeimba muziki wa R & B Joe Thomas kesho Alhamisi ya Tarehe 29 anatarajiwa kutua jijini Nairobi Tayari kwa shoo inayokwenda kwa jina la Tusker Lite Joe Concert.
Concert hiyo ya Joe Thomas anayetamba na kibao cha ‘The Way I am’ inatarajiwa kufanyika siku ya Jumamosi, Tarehe 31 katika viwanja vya Bomas of Kenya.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka jiji la Kibaki,shoo hiyo kwa Joe Thomas ni ya kwanza kwake nchini humo hivyo joto la shoo hiyo limeanza kupanda huku maandalizi yote yamekamilika.

Msanii huyo anatarajiwa kupiga shoo na Bendi yake kamili anatarajiwa kusindikizwa na wasanii Different Faces and June Gachui backed by Eddie Grey.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents