Burudani

Joh Makini, Shettah, Ycee waipa nguvu remix ya Wabe ya P-Unit

Kundi la P-Unit la nchini Kenya linatarajia kuachia remix ya wimbo wake Wabe.

15306081_167776937022625_6669723429140168704_n

Kwenye remix hiyo wamewashirikisha Joh Makini, Shettah, rapper wa Nigeria Ycee na Kristoff.

Hata hivyo P-Unit hawajema remix hiyo itaachiwa lini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents