Burudani

John Legend na mkewe Chrissy Teigen wanatarajia mtoto wapili

Mwanamuziki John Legend na mkewe Chrissy Teigen wanatarajia kupata mtoto wao wa pili baada ya kumpata Luna mwaka 2016.

Chrissy Teigen ndiye aliyetoa taarifa za kuwa mjamzito kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram, ambapo aliweka video na kumuuliza Luna kuwa kwenye tumbo lake (Chrissy) kuna nini na ndiyo Luna akajibu kuwa kuna mtoto.

https://www.instagram.com/p/BbxZhF5l2gn/?taken-by=chrissyteigen

Hii ni neema kwani toka wiki iyanze mastaa waili kwa upande wa muziki na filamu, yaani Wizkid na Kevin Harts wamebahatika kupata watoto wa kiume huku wa Kevin akipewa jina la Kenzo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents