Burudani

Jokate adai hana mpango wa kugombea CCM

Mjasiriamali na Mwanamitindo maarufu Bongo, Jokate Mwegelo amesema hana mpango wa kugombea nafasi yoyote ya uongozi ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM).

Jokate ameiambia Clouds Fm kuwa anachofanya sasa hivi ndani ya chama hicho ni kuhamasisha ili kiweze kuwasaidia wananchi wa Kitanzania kwa ueledi na kwa usahihi.

“Tunajitolea kwa ajili ya chama naamini kuwa chama ndio serikali, kwa hiyo mimi nasaidia tu, naishia hapo, ni mapenzi wangu kwa vijana,” amesema.

Kuhusu kugombea nafasi yoyote ya uongozi ndani CCM, alijibu, “Sijui, haipo kwenye plan, haipo kwenye ramani yangu,”.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents