Burudani

Jokate kuigiza kwenye msimu wa pili wa tamthilia ya Siri ya Mtungi

Jokate Mwegelo aka Kidoti ni miongoni mwa waigizaji wapya watakaoonekana kwenye msimu wa pili wa tamthilia ya Siri ya Mtungi.

1450291_480438192071254_856551517_n
Jokate na Richa wakiwa na waigizaji wengine wa Siri ya Mtungi

Jokate anaungana na Miss Tanzania 2007, Richa Adhia, Yvonne Cherry aka Monalisa na wengine kwenye orodha ya waigizaji wa tamthilia hiyo. Msimu wa pili wa tamthilia huo upo kwneye hatua ya utayarishaji.

Related Articles

Back to top button