Burudani ya Michezo Live

Jokate Mwegelo ndio official host wa red carpet ya KTMA

Mtangazaji wa Channel O, Tanzania, Jokate Mwegelo atakuwa host wa red carpet kwenye tuzo za muziki za Kilimanjaro Tanzania, KTMA Jumamosi hii, June 8. Tuzo hizo zitafanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.

153e4622be2e11e2adac22000a1fbe03_7

Shughuli nzima itaanza saa 1 jioni ambapo itaoneshwa live kwenye mtandao kuanzia muda huo.

Pia mtangazaji wa kipindi cha Power Jams cha East Africa Radio, Sam Misago amepangwa kuwa mwendesha shughuli (host) wa socia media lounge.

bongo2012part1 344

Baada ya red carpet Sam na Jokate wataungana pamoja ambapo watakuwa wakiwahoji wasanii baada ya kupokea tuzo.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW