Burudani

Jokate: Something very big is coming!!!

Channel O VJ na fashion designer nchini, Jokate Mwegelo anatarajia kushusha ‘a bombshell’ kwenye tasnia ya fashion nchini. Baada ya kuendelea ‘kutease’ kwenye akaunti yake Facebook na Twitter kwa picha maridadi iliyopigwa na Gavin Gospert ikiwa na meneno ‘Kidoti Coming Soon’, Bongo5 imemuuliza nini anatarajia kufanya na kusema anadondosha kitu kikubwa ambacho hakijawahi kutokea kwenye fashion industry ya Tanzania.

Amesema mengi zaidi yatajulikana siku chache zijazo atakapotoa taarifa rasmi kwa waandishi wa habari, lakini akasisitiza kuwa it’s a jaw dropping project!!

Wakati tunasubiria ni nini anachotaka kukifanya, mrembo huyu maarufu siku hizi kwa jina la Kidoti, jina lililogeuka brand kubwa nchini, ana maneno haya machache ya kuwaambia kutoka kwa Donna Karan, ““Everything I do is a matter of heart, body and soul.”

We wonder what it is though! We will keep you posted!!

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents