Burudani

Jon Myuziki akamilisha wimbo wa Acha Kulia

jon_myuziki_face

Miongoni mwanamuziki aliyekuwa muasisi wa bendi ya Machozi, akiwa na mwanadada Lady Jay Dee, Jon Myuziki  amesema kwa sasa amekamilisha wimbo wake wa Acha Kulia ili kuwatia moyo Wanzania ambao wamekuwa wakiingia kwenye matatizo.


Jon hivi sasa anasema amezindua bendi yake ya The Sweet Band, yenye nyimbo ya Sambona ambayo inapiga nyimbo za kiasili, na mchanganyiko. anasema hata hivyo anatarajia kufanya mengi katika bendi hiyo, kwakuwa amejipanga kwaajili ya kufanya kazi ya muziki.

Jon_Myusika_pozi

Jon_Myusika_pozi_na_gitaa

Jon_Myusiki_anapiga

Jon_Myuzika_kasimama

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents