Michezo

Jonjo Shelvey ajiunga na Newcastle United

Klabu ya soka ya Newcastle uUited imemsajili kiungo Jonjo Shelvey kutoka Swansea City.

3018B39900000578-3396077-image-m-20_1452633044310
Newcastle, wamelipa kiasi cha pauni milioni 12 kumsajili kiungo huyu wa kimataifa wa Uingereza mwenye umri wa 23.

Jonjo alifanikiwa vipimo vya afya na amesaini mkataba wa miaka mitano na nusu kukitumikia kikosi hicho cha Steve Mclaren.

3018AF6700000578-3396077-image-m-19_1452632920901

Baada ya uhamisho huo kukamilika kocha mkuu wa kikosi cha Newcastle alimzungumzia mchezaji huyu na kusema, “Ni mchezaji mwenye uzoefu katika viungo wa kati wa kiingereza.”

Hata Hivyo timu ya zamani ya Jonjo, Charlton,watapata kiasi cha mgao wa mchezaji huyo aliyeng’ara kama kiungo wa klabu ya Swansea msimu huu.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents