Michezo

Jordan Ayew ajiunga na klabu ya Swansea

Mchezaji Jordan Ayew ambaye ni raia wa Ghana ameondoka Aston Villa na kujiunga na klabu ya Swansea kwa mkataba wa miaka mitatu na nusu.

Ayew ambaye anamika 25, amejiunga na Swansea akitokea Aston Villa.

Kaka yake Andre Ayew aliwahi kukipiga Swansea na walijadiliana kabla ya yeye kujiunga nayo.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents