Burudani

Jose Chameleone apanga kuhamia Kenya

Muimbaji wa Uganda, Jose Chameleone ana mipango ya kuhamia nchini Kenya.

11083913_785893748154344_8571962429917640031_n

Chameleone amedai sababu za kutaka kuhamia Kenya ni kutokana na jinsi vyombo vya habari vya Uganda vinavyomwandika vibaya.

Amedai kuwa amefikia sehemu ambayo amechoka kuandikwa kwa mambo mabaya kuliko mazuri na kwamba Kenya ni sehemu anayoipenda na kuichukulia kama nyumbani.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents