Habari

Jose Chameleone atajwa kuwania Tuzo za ‘Africa Entertainment Awards’ 2013

Joseph Mayanja maarufu kama Jose Chameleone kutoka Uganda ni miongoni mwa wasanii wa Africa waliotajwa kuwania tuzo za ‘Africa Entertainment Awards’ zinazotegemewa kufanyika mwezi huu huko Canada.

JOSE-CHAMELEONE

Mwimbaji huyo wa hit song ‘Badilisha’ ameingia katika tuzo hizo kwenye kipengele cha ‘International Best Male artist ‘ ambapo atachuana na wasanii wengine maarufu wa Africa wakiwemo Ice Price, Davido, Sarkodie na wengine, kwa mujibu wa Red Pepper ya Uganda.

Washindi watatangazwa katika show ya tuzo hizo itakayofanyika (August 31) katika mji wa Mississauga nchini Canada.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents