Michezo

Jose Mourinho akiri ni ngumu kumaliza nne bora

Kocha wa wa Chelsea, Jose Mourinho amekiri kuwa itakuwa ngumu kwa timu yake, Chelsea kufuzu ligi ya klabu bingwa Ulaya msimu ujao baada yao kufungwa 1-0 na Bournemouth nyumbani Jumamosi.

2F1F8D9E00000578-3348535-image-m-24_1449441762108

Hiki ni kichapo cha nane katika mechi 15 na kuwaacha mabingwa hao watetezi wakiwa na alama 14 nyuma ya Manchester United walio nambari nne.

“Lengo letu ni kumaliza katika nne bora,” alisema Mourinho.

“Kabla ya mechi hii, kulikuwa na msingi kufikiria kuwa tulikuwa na uwezo wa kujitoa katika hali hii lakini sasa, labda, itatubidi kufikiria kuhusu sita bora.”

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents